Genesis

Genesis 8

1 verse

God akakumbuka Noah na wild animals na animals za mtaani walikuwa ndani ya ark, akafanya wind ipite kwa world, waba ikaanza ku-reduce. Waba zile ziko chini ya grao na za sky zikafungwa, mvua ikastop. Waba ikapungua polepole kwa world, baada ya days 150 ikakua imepungua sana. Mwezi wa 7 Day 17, ark ikastop juu ya Mt. Ararat. Waba ikaendelea kupungua, mpaka mwezi wa 10, peaks za mountain zikaonekana. After 40days, Noah ali-open window ya ark, akatumanisha raven nje, but haikurudi, ilifly tu bila kuland hadi idhaa waba ilkauka kwa earth. Then Noah akasend dush icheki kaa waba imepungua kwa grao. Lakini bado waba ilikuwa imejaa, so dush haikuwai place ya ku-land, ikarudi kwa Noah ndani ya ark. Noah aka-stretch mkono, akaichukua akairudisha ndani. Akategea day 7 zingine, akasend dush tena. Jioni, dush ikarudi imeuma leaf. Noah akashikanisha waba imepungua kwa earth. Akategea tena days 7, akasend dush mara ya tatu, na haikurudi. Noah akiwa na 601 years, day 1 month ya fao, waba ilikuwa ime-dry. Noah akatoa cover ya ark, akacheki earth ime-dry. Day 27 ya month ya pili, earth ilikuwa ime-dry kabisa. God akashow Noah, “Toka kwa ark, wewe na wife, watoi na wives wao. Toa creatures zote, birds, animals, kila creature ina-crawl, waende wa-give birth na wa-multiply kwa earth.” Noah akatoka kwa ark na wife, watoi wake na wives wao. Animals zote, birds zote, na creatures zote zikatoka. Noah akabuild alter ya God, akatoa sacrifice na animals clean na birds clean, akaziburn kaa offering. Harufu ikabamba God, akasema kwa Heart, “Sitacurse tena world juu ya wasee, najua thoughts zao ni evil from utoi. Sitadestroy tena earth vile nili-do.” “Kuanzia sai days zote za earth, ku-plant na ku-harvest, njeve na joto, summer na winter, mchana na gizani, hazitakalas.”