Hivyo ndio heaven, earth, na kila kitu ndani yake zikakuwa fiti. Day 7, God akamaliza wera yake yote, akasema “leo ni rest day,” akachill. God aka-bless hiyo day 7, akaifanya holy juu ndio day alirest after all the creation Hii ndio riba ya heaven na earth zenye God alicreate. Tym alicreate earth na sky, bado hakuna plant ilikuwa imegrow, hakuna rain ilikuwa imenyesha, na hakuna msee alikuwa ana-till soil. Mist ilkua inatoka down, ina-water grao yote. Then God akaform man kutoka kwa dust ya grao, aka breathe life kwa nose, na man akakuwa creature alive. God aka-setup garden uko Eden side ya east, akaplace huyo man hapo. God aka-make trees mob zigrow pale, zote zilikua fresh na food. Katikati ya garden kulikuwa na tree ya life na tree ya kutambua good na evil. River ikatoka Eden ikawa inawater garden, then ina-split into four. Ya first inaitwa Pishon inasurround land ya Havilah place kuna gold. Gold ya area ilkua fiti, kulikua na bdellium na onyx stones pia. Ya pili inaitwa Gihon, inasurround land yote ya Kush. Ya tatu ni Tigris, inapass side ya east ya Asshur; na ya nne ni Euphrates. God aka-place huyo man kwa garden ya Eden akamshow aifanyie kazi na aiitunze vifiti. Akam-command, “Unaeza dishi kila kitu kwa hii garden, but ukidishi fruit ya ile tree ya kujua good na evil, uta-die.” Then God akasema “Si fiti man akae solo, wacha nicreate helper wake, mtu wa kumsaidia.” God akacreate kila animal na bird kutoka ground, akazileta kwa man a-name kila moja. Man aka name animals zote, birds, na beasts, lakini bado hakua na helper mfiti. Basi God akamseti in a deep sleep, akatoa rib yake moja, akafunga hiyo place. From iyo rib, God aka create woman, akampelekea man. Man akadai, “Eeh, huyu sasa ni bone ya bone yangu, flesh ya flesh yangu. Huyu ataitwa woman juu ametoka kwa man.” That’s why man huacha maparo wake, anaungana na mdem wake, na wanakuwa kitu kimoja. Wote walikuwa ndethe, lakini hawakuwa na shame.