Genesis

Genesis 16

1 verse

Sasa Sarai, wife ya Abram, hakuwa amemzalia mtoi. Lakini alikuwa na dame wa Egypt alikuwa anaitwa Hagar. Sarai akashow Abram, “Cheki, Jehovah amenifungia womb yangu nisizae. Tafadhali, doze na dame wangu wa job, maybe nitaget mtoi through yeye.” So Abram akaskiza voice ya Sarai. Basi Sarai, wife ya Abram, akachukua Hagar huyo dame wake wa Egypt, after Abram kustay Canaan miaka kumi, akamgei kwa Abram kama wife yake. Abram akadoze na Hagar, akaget ball. Venye Hagar alijua ako na ball, akaanza kudharau Sarai mdosi wake. Sarai akashow Abram, “Mbona nashoiwa madharau? Mimi ndio niliseti dame wangu kwa mikono zako, sasa amepata ball na ananidharau. Jehovah ajudge kati yangu na wewe.” Abram akareply, “Cheki, huyo dame wako ako kwa mikono zako. Do na yeye vile unadai.” So Sarai akaanza kumtreat vizii, mpaka Hagar akahepa. Angel wa Jehovah akampata karibu na spring ya maji kwa desert, karibu na ile spring inaishia Shur. Akamwuliza, “Hagar, servant wa Sarai, unatoka wapi na unaishia wapi?” Hagar akajibu, “Nahepa mdosi wangu Sarai.” Angel wa Jehovah akamshow, “Rudi kwa mdosi wako, na unyenyekee chini ya mikono zake.” Angel wa Jehovah akamshow tena, “Nitaincrease descendants wako wawe mob hadi hawatahesabika.” Pia akamshow, “Uko na ball, utazaa mtoi boi, na utamuita Ishmael, juu Jehovah amesikia mateso yako. Atakuwa kama punda mwitu, mikono yake itakuwa juu ya kila mtu, na mikono ya kila mtu itakuwa juu yake, lakini atastay mbele ya mabro wake wote.” Hagar akaita jina ya Jehovah mwenye alikuwa amebonga naye, akasema, “Wewe ndiye El-Roi,” juu alijiask, “Nimecheki mwenye yuniona?” Hiyo spring ikaitwa Beer-lahai-roi; iko kati ya Kadesh na Bered. Hagar akazaa mtoi boi kwa Abram, na Abram akaita huyo mtoi wa Hagar, Ishmael. Abram alikuwa na miaka eighty six time Hagar alimzalia Ishmael.