Genesis

Genesis 38

1 verse

Mabaadaye, Judah akahepa ma-bro zake akaenda kuishi na jamaa mmoja wa Adullam anaitwa Hirah. Akanoki mdem wa Canaan anaitwa Shua, wakaoana. Akamzalia kijana wa kwanza, Er. wa pili, Onan. wa tatu, Shelah. Walikuwa wanaishi Adullam. Judah akampatia Er (mtoi wake wa kwanza) mdem anaitwa Tamar. But Er akawa msee mwicked, God akamwipe off. Judah akamshow Onan, “Bro, chukua mdem wa bro wako, mpe mtoi axxording to laws zetu.” Onan hakua anadai hii story, so kila time akidoz na Tamar alikuwa ana-pull out, asizae mtoi. God akaona hiyo ni vibaya, akamwipe off pia. Judah akashow Tamar, “Baki kwa boma kama widow hadi Shela agrow.” Lakini alihofia Shela atadeady kaa mabor wake. Kiasi, mdem wa Judah akafa. Tamar akachapiwa, “Shemeji yako Judah anaenda kutrim sheep zake huko Timna.” Tamar akavua nguo za widow, akavaa veil, akabangaiza kwa road karibu na Enaim, cause alicheki Shela amegrow but hajaletwa kwake. Judah akamcheki, aka asume ni prostitute juu alikuwa amejifunika face. Akamwapproach, akamshow, “Ebu niingie kwako.” Hakujua ni Tamar. Tamar akasema, “Utanilipa nini?” Judah akasema, “Ka-goat.” Akauliza, “Na nitaget guarantee gani?” Judah akasema, “Chukua seal yangu, cord, na fimbo yangu hadi nisend iyo goat.” Wakafanya ile kitu, Tamar akaget ball. Then Judah akasend ile kagoat, but hakueza ku-trace ule “prostitute.” Wasee wa mtaa wakasema hawajui huyo mdem. Akarudi Judah juu alimkosa. Judah akasema, “Acha nilenge nsijichomee.” After miezi tatu, wakaambia Judah, “Tamar ameblanda— ako na ball.” Judah akadai, “Mleteni, achomwe!” Wakimtoa, Tamar akadai: “Hii ball ni ya mwenye hii seal, cord, na fimbo.” Judah akacheki, akasema, “Huyu mdem ako righteous kuniliko, juu nilishindwa kumpa Shela.” Wakati wa delivery, alizaa twins. Wakizaliwa, mmoja akaweka mkono nje, mkunga akafunga thread ya red. Lakini akarudisha mkono, mwenzie akatoka kwanza. Mkunga akasema, “Eh, umebreakthrough vibaya.” Akaitwa Perez. Halafu mwingine akatoka, wakamwita Zerah.