Genesis 39:1
Joseph akapelelwa Egypt, na Potiphar, msee wa Pharaoh na Captain wa maguard, akambuy kutoka kwa wale Ishmaelites walimletea huko. Na God alikuwa na Joseph, na akathrive fiti akiishi kwa mdosi wake wa Egypt. Venye mdosi wake alicheki God ako na Joseph na God anamgei success kwa kila kitu anado, Joseph akapata favour kwake, akamserve; Potiphar…