Genesis

Genesis 13

1 verse

Basi Abram akatoka Egypt na mresh wake, Lot, na kila kitu walikuwa nayo, wakaelekea South. Bro alikuwa dosi mbaya — alikuwa na gold, silver, na cattle mob. Kutoka South alienda step by step hadi Bethel, penye alicamp place ya first between Bethel na Ai, place alibuild ile altar ya first, na hapo akaanza kucal name ya God tena. Lot pia alikuwa na cattle zake na wealth mob. Ile land ilikuwa kapyenga kwao wote wawili; ma-workers wao walikuwa wengi sana mpaka walikuwa wanaanza kuzozana juu ya space. Wakuu wa mifugo wa Abram na wa Lot walikuwa wana-clash daily. Iyo time Canaanites na Perizzites bado walikuwa wanastay iyo mtaa. Basi Abram akashow Lot, “Bro, tusibishane. Mimi na wewe ni mablood, na servants wetu pia. Cheki, land yote iko hapa mbele yako. Acha tugawane tu — ukichukua left, mimi nachukua right; ukichagua right, mimi nachukua left.” Lot akacheki juu, akaona plain ya Jordan — waba, green grass, vitu safi kama Garden ya God au kama Egypt ukienda Zoar. Lot akachagua hiyo area yote ya Jordani, akaenda east. Wakaseparate. Abram akakaa kwa land ya Canaan, na Lot aka-settle karibu na city ya valley, mpaka karibu na Sodom. Watu wa Sodoma walikuwa washerati, Aii! Walikuwa sinners mbaya, wanakosea God videadly. After Lot ameleft, God akachapiaa Abram, “Bro, cheki kila side — north, south, east, west. Hii land yote unacheki, nitakupatia wewe na descendants wako forever. Nitafanya descendants wako wengi kaa dust ya grao — hakuna mtu ataweza kuwacount. Now simama, walk kila corner ya hii land, juu nimekupea yote.” Abram akachukua tent yake akaenda kustay Oaks of Mamre (Hebron), akabuild altar pale ya God.