Genesis

Genesis 12

1 verse

God akashow Abram, “Toka area yako, wachana na fam na mabeshte, enda place nitakuonyesha “Nitakufanya uwe nation bigi, nitakubless, name yake itakuwa great sana, na utakuwa blessing kwa wasee wengine.” “Msee atakubless, nitamkubless pia, na nitacurse msee atakucurse. Kupitia wewe, kila family kwa world itablessiwa.” So Abram akaobey words ya God, aka-move out, na Lot akajoin. By that time msee alikuwa 75 akitoka haran Abram akachukua wife yake Sarai, nephew wake Lot, na kila kitu walikuwa nazo Haran — wakaamua ku-move hadi Canaan. Abram alipita land ya place inaitwa Shechem, pale kwa mti mkubwa wa Moreh. Wasee wa Canaan bado walikuwa wanastay hapo. God aka-appear kwa Abram, akamshow, “Bro, hii land yote nitapatia ma-descendants wako.” Abram akaset up altar hapo, kugive thanks kwa God. Aka-move hadi kwa mountain karibu na Bethel, aka-set tent yake pale, Bethel iko west, Hai iko east. Akaiseti altar tena, akaita jina ya God . Abram akaendelea ku-travel south. Kulikuwa na drought mbaya kwa area, so Abram akaenda Egypt kidogo,juu akukuwa na food kwa hio land. Akiwa karibu kufika Egypt, Abram akamwambia wife yake Sarai, “najua we ni mrembo sana wasee watakuadmire huko.” Maegyptians wakikuspot watadai “huyu ni wife yake,” then wataniuwa lakini watakuacha tu. Please tukifika huko sema tu wewe ni siz yangu, ndo tusurvive wote. So walipofika Egypt, wasee wa huko wakamspot Sarai — wakashangaa vile ni mfine. Maprince wa Pharaoh wakamspot then wakamshow, then wakampleka kwa hao ya Pharaoh Pharaoh akatreat Abram fiti juu ya Sarai — akampea animals mob, ma-camel, ma-servants na vitu mob hadi life yake ika-upgrade. Lakini God akaleta plague kubwa kwa Pharaoh na kwa palace yake juu ya Sarai. Pharaoh akamuita Abram, akamshow, “umenifanyia nini? Mbona hukunishow ni wife yako ?” “Ulidai ni siz yako? Ningemchukua akuwe wife yangu! Sasa chukua wife yako na muishie” Pharaoh akatuma wasee wake wamtoe nje — Abram, Sarai na kila kitu walikuwa wamebeba wakafukuzwa.