Na Adam akadoz na wife wake Eve, akaget ball, akazaa Cain, akasema, Nimepewa man na LORD.” Akazaa tena bro wake Abel. Abel alikuwa anachunga sheep, na Cain alikuwa farmer. After time kiasi, Cain akaleta sacrifice ya fruits za grao kwa LORD. Na Abel naye akabring mafirst-born wa sheep zake zenye zimenona. LORD akabambika na offering ya Abel, but ya Cain haikumbamba. Cain akajam sana, na akaboeka. LORD akashow Cain, “Mbona umejam, na mbona umeboeka?” “Ukido fiti utakuwa accepted? Na kama hujado kitu fiti sin iko kwa mlango inakutegea, inataka kukudundisha usipoicontrol.” Cain akabonga na bro yake Abel, na wakiwa kwa field, akampiga vita hadi akadedi. LORD akauliza Cain, “Bro yako Abel ako?” Akareply, “Sina idea: kwani mimi ndio hujua form zake? LORD akamshow, “Umedo nini sasa? Blood ya bro yako inacry kutoka kwa grao.” “Sasa umecursiwa kutoka kwa hiyo grao, yenye imemeza blood ya bro yako after umem-murder we mwenyewe. Ukiwork grao, haitakuwa inakupea harvest poa. Utakuwa msee wa kuroam world.” Cain akashow LORD, “Hii pano ni ngori sana kushinda vile naweza handle. Leo umenichuja kutoka kwa hii grao, na kwa uso yako; na nitakuwa naroam kwa world, na msee yeyote akiniget atanimada.” LORD akamshow, “Zii, msee yeyote atakumada ataget pano times seven.” Na LORD akaseti mark kwa Cain, ndio msee yeyote atamcheki asi-murder. Cain akajitoa mbele ya God akaishia kustay Nod, yenye iko East ya Eden. Cain akadoze na wife yake, akaget ball akazaa Enoch. Akabuild city, akaiita jina ya mtoi wake Enoch. Enoch akaget mtoi anaitwa Irad, Irad akaget mtoi anaitwa Mehujael, Mehujael akaget mtoi anaitwa Methushael, na Methushael akaget mtoi anaitwa Lemech. Lemech akamarry wife wawili; mmoja alikuwa anaitwa Adah, na wa pili Zillah. Adah akazaa Jabal; na yeye ndio buda ya wasee wote wanastay kwa matent wakifuga mang’ombe. Bro yake alikuwa anaitwa Jubal; na yeye ndio buda ya wale wasee wote huplay instruments za music. Zillah akazaa Tubal-Cain, mwenye ni fundi wa matool zote za brass na iron. Siz yake alikuwa anaitwa Naamah. Lemech akashow mawife zake Adah na Zillah, “Niskizeni vifiti: Nime-murder msee juu ya wound ya mine, boyz flani juu ya kuniumiza. Kama Cain atapewa revenge ya times seven, basi Lemech itakuwa times seventy.” Adam akadoze na wife yake tena, akazaa kaboy, akamuita Seth: “Juu God ameniletea mwingine kureplace Abel, mwenye Cain ali-murder.” Na Seth na yeye akaget mtoi, akamuita Enosh. Hiyo time wasee wakaanza kuita jina ya LORD.