Na Jacob akaita watoi wake akasema, “Kamini wote pamoja niwachapie vile vitu zitakuwa siku zinakam.” “Kamini pamoja msikie, nyi watoi wa Jacob; sikieni Israel buda yenu.” “Reuben, wewe ndiyo firstborn wangu, nguvu zangu na start ya unoma yangu; umekuwa wa heshima na nguvu.” “Lakini wewe ni kama waba inamwagika — huna msimamo; kwa sababu uliingia kwa bed ya budako, ukachoma. “Simeon na Levi ni mabro; mikono zao zimejaa ukatili.” “Manze soul yangu, usiingie box yao kwa plans zao; juu walimurder mtu time walikuwa wamejamu vizii, wakakata ng’ombe juu ya ufala.” “Hio kujamu yao ilaaniwe, juu ilikuwa ngori vibaya; nitawa-scatter katikati ya Israel.” “Judah, bros zako watakusifu; utashika enemies wako ngeta noma; watoi wa budako watainama mbele yako.” “Judah ni kama mtoi wa lion; umetoka hunting; unarelax kama lion, nani atathubutu kumwinua?” “Scepter haitatoka from Judah, ama ile staff ya ruler kutoka from katikati ya miguu zake, mpaka ifikie yule msee mwenyewe na kutii ya nations itakuwa yake “Atafunga punda yake kwa vine, na mtoi wa punda yake kwa vine fiti sana kushinda zingine; atafua mng’aro zake kwa wine.” “Macho zake zitakuwa red kushinda wine, na meno zake white kama maziwa.” “Zebulun atapoa karibu na sea, atakuwa mwenye harbour ya ships; border yake itafika mpaka Sidon” Issachar ni donkey moja stunya, anapoa karibu na keja za sheep.” “Akicheki place ya rest ni poa, na land ni fiti; ataseti bega yake kubebeana mizigo, na kuwa servant.” “Dan ataprovide justice for wasee wake kama mmoja wa tribes za Israel.” “Dan atakuwa kama snake kwa road, anapiga horse bite mpaka msee ameipanda achape chini.” O Lord, nimeitegea deliverance yako.” “Gad atashambuliwa na mbogi ya raiders, but atawashinda.” “Asher, dishi yake itakuwa fiti sana, ataprovide delicacies za kings.” “Naphtali ni kama deer imeiachliwa, inazaa watoi warembo.” “Joseph ni vine iko na fruits kibao, branches zake zinapanda juu ya ukuta.” “Na mori waliiattack wakipiga mishale, lakini mikono yake ikabaki ngangari.” “Lakini bow yake iliendelea kuwa ngangari; mikono zake strong zikabaki steady kwa help ya the Mighty One of Jacob, kwa sababu ya buda yake, the Shepherd, the Rock of Israel Juu ya God wa buda yako anaendelea kuku-help, Almighty atakubless na blessings za juu kwa skies, blessings za springs underground na blessings za breasts na womb “Baraka za badako ni greater kushinda blessings za ancient mountains kushinda bounty ya hills za tenee. Sare hawa wote wa rest kwa head ya Joseph. “Benjamini ni kama dogi mwitu: ngware ana-devour prey; evening anagawanyisha “Hawa wote ni tribes 12 za Israel, na hii ndiyo kitu budao aliwabless na kuwapatia baraka appropriate kwake.” “Akawagei instructions, ‘Mimi niko karibu kuishia kupatana na wasee wangu. Mnizike na buda zangu kwa ile cave iko kwa grao ya Ephron the Hittite. ile cave iko kwa field ya Machpelah, karibu na Mamre pale Canaan, ile Abraham alibuy pamoja na ile grao burial place from Ephron the Hittite. Hapo ndio Abraham na wife wake Sarah walizikwa, hapo hapo ndio Isaac na wife wake Rebekah walizikwa, na nikazika Leah. Hio grao na cave ilikuwa hapo zilibuy-iwa kutoka from the Hittites. When Jacob alimaliza kugei sons wake instructions, aliingiza miguu kwa bed, akapiga breath ya last na akachukuliwa kuwa na wasee wake.