Joseph akapelelwa Egypt, na Potiphar, msee wa Pharaoh na Captain wa maguard, akambuy kutoka kwa wale Ishmaelites walimletea huko. Na God alikuwa na Joseph, na akathrive fiti akiishi kwa mdosi wake wa Egypt. Venye mdosi wake alicheki God ako na Joseph na God anamgei success kwa kila kitu anado, Joseph akapata favour kwake, akamserve; Potiphar akamfanya bazuu wa household yake, na kila kitu yake akaweka chini ya Joseph. Kuanzia time Potiphar alifanya Joseph bazuu wa nyumba na akamweka in–charge ya kila kitu yake, God akabless nyumba ya Potiphar juu ya Joseph. Baraka ili-spread kwa kila kitu, home na hata shake. Potiphar akawachia Joseph kila kitu, hakujisumbua na any except tu dema alikua anadishi. Joseph alikuwa msee handsome na anakaa fiti. After some time, wife ya mdosi wake akaanza kumnoki, akamshow, “Come udoze na mimi.” But Joseph akadinda straight, akashow wife ya mdosi wake, “Mdosi wangu ameniinua juu hapa na amenitrust na kila kitu ya nyumba, hakuna mtu hapa ako juu yangu. Ajanikazia kitu yoyote except wewe juu wewe ni wife yake. Sasa ntafanya aje hii evil na nikosie God?” Kila day alimsumbua na hiyo risto, but Joseph ali-hold ground, hakuskia, wala hakutaka kustay karibu na yeye. Siku fulani Joseph akaingia kejani kudo job, na hakuna msee mwingine alikuwa kwa keja. Wife ya Potiphar akamgrab nguo, akamshow, “Come udoze na mimi.” Joseph akajitoa kutoka kwa keja, akamuachia nguo kwa mkono akahepa. Venye alicheki Joseph ametoka nje mbio na amemuachia nguo, akaita ma-servants akipiga nduru, “Huyu mHebrew hubby wa mine amebring hapa anatry kudoze na mimi! Alitry kuni-rape nikapiga nduru.” “Venye alisikia nduru, akahepa akaniachia hii nguo.” Akahold hiyo nguo hadi Potiphar akacome home. Akashow Potiphar, “Huyo servant mHebrew ulitubringia anatry kudoze na mimi! Nikapiga nduru ndio akahepa akaniachia nguo.” Potiphar akasikia vile wife yake amebonga, akashika nare mbaya juu ya Joseph. Akachukua Joseph, akamtupa jela—iile jela ya prisoners wa mfalme. Joseph akajipata ndani ya jela hivo. But God bado alikuwa na Joseph; akamshow favour na akafanya officer wa jela amlike. Officer wa jela akaweka Joseph in–charge ya prisoners wote, na kila kitu walikuwa wanado huko ndani aliweka chini ya Joseph. Officer wa jela hakustruggle na kitu yoyote Joseph alikuwa anahandle, juu God alikuwa na Joseph, na kila kitu Joseph alishika God akai-make ithrive.