Genesis

Genesis 7

1 verse

God akashow Noah, “Cheki, ingia kwa ark, wewe na family, because hii idhaa yote ya life, ni wewe tu nimecheki uko righteous.” Akamshow abebe animals clean, male na female, saba saba, na unclean, male na female, wawili wawili, na birds pia saba saba juu lazima species zi-remain kwa world. God akamshow, “After days saba, nitashusha waba mob sana, for 40 days na night, hadi nichuje kila kitu.” Noah hakua na say, ali-do tu vile God amesema. Alikuwa na miaka 600 time waba ilikam. So Noah akaingia kwa ark na wife wake, boys wake watatu Shem, Ham na Japheth, pamoja na ma-wives wao. Animalz zote, clean na unclean, birds na creatures wote wana-creep kwa grao, waliingia wawili wawili vile God alikuwa amemshow. After wiki moja, waba ikaingia, mvua ikanyesha 40 days nonstop. Noah akiwa na miaka 600, day ya 17 ya mwezi wa pili, waba zle ziko chini ya grao zka-burst, na madiro ya sky zika-open. Mvua ikanyesha kwa world for 40 days na night. Iyo day Noah, wife yake, maboys wake Shem,Ham na Japheth, na ma-wives wao wakaingia ark. Waliingia na wild animals, animals za mtaani, creatures zote, birds. Zote zikaingia wawili wawili kwa ark na Noah, vile God alikuwa amemshow. Kila animal waliingia, male na female, vile God alisema. God mwenyewe akatinga door ya ark. Waba ilikaa kwa world days 40, ark ika-float juu ya world. Waba ikazidi kukua mob, ark ikaendelea ku-float. Waba ika-cover mountains zote bigi. Ili-cover 7 metres juu ya mountain. Creatures zote za world zikadrown, birds, animals wa mtaani, na wild, na wasee wote. Kila kitu ilkua ina-breath na ilkua kwa dry land ikadedi. God akaclear kila kitu kwa world, wasee, animals, creatures, na birds. Ni Noah tu na family yake ndo walibaki alive ndani ya ark. Waba ikaendelea kujaa world for 150 days straight.