Genesis

Genesis 42

1 verse

Jacob akacheki kuna famine mbaya kwa land, akawashow watoi wake, “Mbona mnaangalia tu?” Akasema, “Nimeskia kuna food Egypt. Endeni huko, mubuy food, tusikufe na njaro.” Basi mabro kumi wa Joseph wakaenda Egypt kubuy unga. Lakini Benjamin, bro ya Joseph, Jacob hakumruhusu, akasema, “Sitaki akipate accident.” Wasee wa Israel pia walienda kubuy unga, juu famine ilikuwa imekalia Canaan vizii. Joseph ndio alikuwa boss wa kusambaza food. Mabros wake walipofika wakamgotea chini. Venye Joseph aliwaspot, akawatambua, but akawa-behave kaa hawajuani. Akawaspasha, “Mmetoka wapi?” Wakareply, “Tumeishia kubuy unga Canaan.” Joseph aliwashika vizuri, but wao hawakumspot. Akakumbuka zile dreams zake juu yao. Akawashow, “Nyinyi ni ma-spy! Mmekuja kuona mtaa iko weak wapi.” Wakamjibu, “Aah bana buana, hatuko spies! Tuko ma-boys tu tumekuja kubuy food.” “Sisi ni bro 12, watoi wa mzee mmoja Canaan. Mdogo wetu ako home, na mmoja ali-pass.” Joseph akashow, “Zii, nyinyi ni ma-spy bana!” Wakasema, “Wee msee, sisi ni bro 12. Mmoja ali-miss, mdogo ako na buda.” Joseph akasema, “Nimesema nyinyi ni ma-spy, period.” “Nitawajuaje kama mnaongea true? Mmoja awende akalete bro mdogo. Nyinyi wengine mutalockiwa hapa.” “Mutume mmoja aende akalete bro mdogo, ndio truth ijulikane. Otherwise mko ma-spy.” Akawashika wote akawatia custody for days tatu. Day ya tatu Joseph akawashow, “Do good juu mimi namgwaya God: wacheni mremain one hapa, wengine muende mpeleke unga home.” “Lakini lazima mbring bro mdogo ndio mujiproove hamko spies.” “Mkimbring, mtaishi. Mkikataa, story imeisha.” Wakaambiana, “Buda, tunalipia vile tulimdo Joseph vibaya. Tulimsikia akicry lakini tukamsell.” Reuben akawapasha, “Nilijua! Nilishow msimuue, hamkusikiza. Saa hii tunalipa.” Hawakujua Joseph aliwaskiza juu alikuwa anawongelesha kwa interpreter. Joseph akaingia kwa corner aka-cry. Akirudi akachukua Simeon akamfunga mbele yao. Akawapea order waweke unga kwa mabags yao, na warudishe pesa zao ndani ya bag, na wawape supplies za journey. Wakabeba unga wakaishia. Moja wao akifungua bag yake kwa lodge feed donkey, akapata dough yake kwa mouth ya bag. Akawaambia, “Aii! Dough yangu imerudishwa! God anatupiga case.” Wakafika kwa Jacob wakaeleza kila kitu Joseph aliwaambia. Wakasema, “Msee wa Egypt alitupasha vibaya, akadai sisi ni ma-spy.” “Tukamshow sisi ni mabro 12, mmoja ali-miss, mdogo ako home.” “Akasema tu-bring bro mdogo ndio ajue tuko legit.” “Akachukua Simeon akamlock, akasema tukirudi lazima tubring Benjamin.” Jacob akacheki pesa zao zimerudi bags zote, na akajam. Akasema, “Mmenipotezea watoi wangu! Joseph alienda, Simeon ameenda, na saa hii mnataka Benjamin pia? Aii!” Reuben akamshow, “Buda, ukinikosa trust, unaweza kuua ma-boys wangu wawili nikikujia bila Benjamin. Nitampa guarantee.” Lakini Jacob akasema, “Benjamin haendi! Bro yake amepotea, na hii famine mtamumaliza pia? Hapana. “Mkimupeleka akipata accident, mtanichapa heartache hadi niende kwa kaburi mapema.”