Genesis

Genesis 17

1 verse

Wakati Abram alikuwa na miaka 99, God aka-appear akamshow, “Me ni God mwenye nguvu zote. Tembea straight mbele yangu, usiniangushe.” “Nataka nifanye Covenant kati yangu na wewe, nikubless hadi uwe mzae wa Nations.” Abram akabow chini, God akaendelea kumshow, “Hii ndio covenant yangu na wewe — utakuwa mzae wa nations kibao.” “Kuanzia leo jinaako si Abram tena, utaitwa Abraham, juu nitakufanya mzae wa wasee kibao.” “Nitakubless, utakua na izo generation kibao, Nations na Kings watatoka kwako.” “Covenant yangu na wewe itakuwa milele, na watoi wako. Nitakuwa God wao.” “Nitawajenga hii nchi yote ya Canaan, wewe na generation yako, yenu milele. Nami nitakuwa God wao.” God akamshow Abraham, “Wewe pia lazima ukeep Covenant yako” “Kila boy kwako lazima akue-ametae. Hio ndio sign ya covenant yetu.” “Lazima m-tae wasee wotee kama sign ya covenant.” “Watoi maboy watae wakiwa na siku 8, iwe wako au servant wako.” “Wote wako mtaa lazima wafanye hivyo. Hii ndio covenant ya forever.” “Yeyote hataki hiyo, ataondolewa kwa watu wangu — amevunja Covenant.” God akamshow Abraham, “Wife wako Sarai usimuite hivyo tena. Jina yake itakuwa Sarah.” “Nitambless na atakuzalia boy. Atakuwa matha wa manations kibao, na Kings watatoka kwake.” Abraham akacheka akajishow kimoyomoyo, “Mzae kaa mimi nazaa aje? Na Sarah akiwa na miaka 90?” Akamshow God, “Ee God, si ungebless tu Ishmael?” Lakini God akamshow, “Hapana. Sarah atakuzalia mtoi boy, utamuita Isaac. Covenant Yangu itastay nayeye hadi na watoi wake days zote. “Na kuhusu Ishmael, nimemsikia. Nitambless, atazaa sana, atakuwa mkubwa, na ataongoza nchi 12” “Lakini Covenant Yangu itakuwa na Isaac, ambaye Sarah atazaa gidhaa kama hii next year.” God akamaliza kubonga na akajitoa. Abraham akachukua Ishmael na kila boy kwa keja yake — Wakakatae hio day vile God alikuwa amewachapia. Abraham alikuwa na miaka 99 alipotae. Ishmael alikuwa na miaka 13. Wote walikatwa day moja. Na kila boy kwa keja yake,mwenye alizaliwa au alibuy-iwa, alikatwa pia.