Genesis

Genesis 29

1 verse

Jacob akaendelea ku-stride hadi akafika kwa base ya wasee wa east. Akacheki Kisima ilikuwa kwa shake flani haina msee, na maflok tatu za kondoo zimechill hapo juu ya waba. Kulikuwa na gutona bigy juu ya mdomo ya kisima. Flock zote zikishagadha hapo ma shephards wange sjuma hio gutona itoke kwa mdomo ya hio well alafu wapee kondo waba Jacob akawashow, “Mabro, mmetoka wapi?” Wakasema, “Tumetoka Haran.” Akawauliza, “Mnajua Laban, mjukuu wa Nahor?” Wakasema, “Eeh tunamjua, na ona Rachel ndio anakam.” Akawashow, “Eh lakini cheki bado jua ni kali; na bado gidha haijafika ya kugadha masheep na kuzipea keroma.” Wakajibu, “Aah bro, hatuwezi mpaka maflok zote zikue zishafika, ndio gutona irollishwe.” Jacob bado akibonga na wao, Rachel akatokea na kondoo za mzae wake juu ye ndio alikuwa shepherd. Jacob alimsee na akaona ma-sheep za mjomba wake, akamove tu—akaroll ile kozo peke yake, akanywesha ma-sheep za Laban. Halafu Jacob akambusu Rachel, akatoa machozi juu emotions zilimgonga. Akamshow yeye ni relative, mtoto wa Rebekah. Rachel akaenda mbio kumwambia mzae wake. Laban akasikia mambo ya Jacob, akakimbia kumlaki, akam-hug, akam-kiss, akamleta kwa nyumba yake. Jacob akadrop story yote. Laban akamshow, “Wewe ni damu yangu.” After mwezi moja, Laban akamwambia, “Si ufanye job kwangu bure, ebu niambie unadai dough kiasi gani.” Laban alikuwa na madem wawili: Leah mkubwa, Rachel mdogo. Leah macho zake zilikuwa soft, but Rachel alikuwa dame wa true beauty—figure iko, uso iko. Jacob akafall for Rachel vibaya, akamwambia Laban, “Niko ready kuhustle miaka saba juu umpe Rachel kwangu.” Laban akasema, “Ni heri nikupatie kuliko mwingine random. Baki hapa.” Jacob akahustle hizo miaka saba juu ya Rachel, lakini kwake ilienda kama siku chache juu alimpenda deadly. Kisha Jacob akamwambia Laban, “Nipatie mke wangu sasa, time yangu imeisha.” Laban aka-strategize bash kubwa ya harusi. Ilipofika usiku, Laban akarelease Leah kwa Jacob bila kumwonya, na Jacob akalala naye. Laban akampa Leah servant wake Zilpah kama assistant. Asubuhi Jacob akashituka, “Waaah! Ni Leah!? Bro umecheza na mimi aje?” Laban akasema, “Kwa huku hatupeangi mdogo kabla ya mkubwa.” “Maliza tu wiki ya Leah, halafu nitakudrop Rachel pia, lakini utahustle miaka saba zingine.” Jacob akachukua deal, akamaliza week ya Leah, akapewa Rachel pia. Laban akampa Rachel servant wake Bilhah. Jacob akalala na Rachel pia, na feelings zake kwa Rachel zilikuwa heavier kuliko za Leah. Akahustle miaka saba zingine vile ilisemwa. Bwana akaona Leah sio preferred, akambless na fertility. Rachel akabaki dry. Leah akapata first son, akam-call Reuben: “God amechiki suffering yangu; sasa hubby atanipenda.” Akapata son mwingine, akam-call Simeon: “God amesikia vile sipendwi, akanipatia huyu pia.” Akapata wa tatu, akam-call Levi: “Sasa msee atanistick—nimezaa maboys watatu.” Akapata wa nne, akam-call Judah: “Saa hii lazima nim-praise Bwana.” Kisha aka-pause kuzaa.