Baada ya hio riba yote, God akatest Abraham, akam-call, “Abraham!” Akareply, “Niko area.” God akamshow, “Chukua mtoi wako, Isaac, yule unampenda sana, uende country ya Moriah, umtoe huko kama burnt offering, juu ya mlima nitakushow.” Abraham akaamka ngware mapema, aka-saddle punda yake, akachukua vijana wawili na mtoi wake Isaac, akapasua kuni enough za kuchoma sacrifice, akaishia ile place God alimshow. Day 3, Abraham akainua macho akacheki hii place pale mbali. Abraham akaambia vijana wake, “Bakini hapa na punda, mimi na mtoi wangu tutaishia pale kuworship, halafu tutarudi.” Abraham akachukua kuni za sacrifice, akawekea Isaac mabegani, akachukua moto na kisu mkononi, wakaishia wote wawili pamoja. Isaac akabonga na budake, “Baba!” Abraham akajibu, “Unasemaje son?.” Isaac akasema, “Tuko na moto na kuni, lakini mbuzi ya sacrifice iko wapi?” Abraham akamshow, “Son, God mwenyewe atatoa mbuzi ya sacrifice.” Wakaendelea ku-walk pamoja. Wakaenda mpaka place God alikuwa amesema, Abraham akajenga altar, akaweka kuni juu yake, akamfunga Isaac na kumseti juu ya kuni. Na Abraham akainua mkono yake akachukua kisu a-sacrifice mtoi wake. Angel wa LORD akam-call kutoka heaven, “Abraham! Abraham!” Aka-reply, “Niko hapa.” Akamshow, “Sare knife down. Usiguse boy wako, usimfanye any. Sasa najua kweli una-honour God, maana hukunikazia mtoi wako wa pekee.” Abraham akainua macho akacheki kondoo dume imenaswa kwa bush na pembe, akaichukua akaitoa kama sacrifice badala ya mtoi wake Isaac. Abraham akaita hio place “Jehovah Jireh,” kumaanisha “God ata-provide.” Mpaka leo watu bado hutumia hio jina hadi leo. And Angel wa LORD akaita Abraham mara ya pili kutoka heaven, Akasema, “Ninaapa kwa jina yangu mimi mwenyewe, kwa sababu ume-do hivi, hukunikazia mtoi wako wa pekee, Nitakubless sana, nitazidisha watoi wako kaa stars za heaven na mchanga kwa seashore; na watoi wako watashinda cities za enemies wao. Kupitia watoi wako nations zote duniani zitablesswa, kwa sababu ulisikiza sauti yangu na ukani-obey. Abraham akarudi kwa vijana wake, wakatoka pamoja wakarudi Beersheba, na wakastay huko. Baada ya hio riba yote, Abraham akaletewa habari, “Milcah pia amezalia bro wako Nahor watoi.” Milcah akazaa Uz 1st born, Buz bro yake, Kemuel buda wa Aram, Kesed, Hazo, Pildash, Jidlaph, na Bethuel. Bethuel ndio budake Rebeka. Milcah alizaalia bro wa Abraham, Nahor, hawa sons 8. Concubine wa Nahor, Reumah, pia akazaa sons: Tebah, Gaham, Tahash and Maacah.