Mwanzo ya kila kitu, God ndio alicreate heaven na earth. Saa hiyo earth ilikuwa tupu, giza ilkua imejaa mbaya, na waba imecover ground. Na Spirit ya God alikuwa anahover juu ya hizo waba. Na God akasema, “Light tokea.” Light ikatokea. God akaona iyo light iko fiti, akaseparate light na darkness. Light akaita “day,” na darkness akaita “night.” Jioni ikakam, morning ikakam hiyo ilikuwa day 1. God akasema, “Wacha kukue na separation juu ya waba, kitu iseparate waba ya juu na ya down. God akabuild hiyo separation, akapanga waba ya juu iende side yao na ya down pia, na ikakam true. Hiyo space ya juu akaita “sky.” Na ikakuwa evening, ikakuwa morning day 2. God akasema, “Wacha waba yote ya chini ya sky zi-meet pamoja, na dry ground iappear.” Na ikahappen. Hiyo dry ground akaiita “earth,” na waba zenye zili-meet akaziita “sea.” God akaangalia, akasema “Eeeh, hii iko fiti.” Then God akasema, “Wacha ground ianze kutoa: plants, leaves, na trees zenye zina-produce mbegu na mafruits kulingana na type zao.” Na ikawa ivo. Earth ikaanza kutoa vegetation — trees, leaves, mbegu, fruits, vitu safi safi kulingana na design. God akaona iko poa. Ikakuwa evening, ikakuwa morning — day 3. God akasema, “Wacha kuwe na lights kwa sky, zi-separate day na night, ziwe zinaonyesha seasons, days, na years.” “Na ziwe zina light up earth.” Na ikakuwa ivo. God akacreate lights mbili — ile bigy ya daytime (sun), na kapyenga ka usiku (moon); na pia ma-stars. Akaziseti kwa sky ziwe zinalight earth. Zi-control day na night, zi-separate light na giza. God akacheki that ziko fiti. Ikakuwa evening, ikakuwa morning — day 4. God akasema, “Wacha waba ijae na ma-creatures zenye zina-swim, na birds zifly juu ya sky.” God akacreate sea monsters na kila kitu ya kuplay kwa waba, na birds zote — kila kitu kulingana na type yake. God akacheki iko fiti. Akabless, akasema, “Zaeni, muongezeke, ndani ya waba mjaze macreatures, na birds za sky ziongezeke pia.” Ikakuwa evening, ikakuwa morning — day 5. Then God akasema, “Wacha grao itoe animals — cows, beasts, na animals za kila type.” Na ikakuwa ivo. God akacreate kila beast kulingana na type yake, na kila creature ile inawalk kwa grao. God akacheki iko fiti.” Then God akasema, “Wacha tucreate man in our own likeness, kama sisi, wakue na dominion over mafish, mabirds, na creatures zingine zote, na kila kitu kwa earth.” Basi God akacreate man in His own image — msee na mdem — akawacreate. Akawabless, akawachapia, “Ishieni mu-multiply, mfil earth, mu-take charge. Mkue na dominion over mafish, birds, na macreatures zote.” God akasema, “Ona, nimewawai kila plant yenye ina produce seed, na kila tree yenye iko na fruits, ni food yenu hiyo.” “Na kwa animals wote, na birds wote, na creatures wote zinacreep kwa grao — nimewawai green plants kama chakula.” Na ikakuwa ivo. God akaangalia kila kitu ali do, akasema, “Kila kitu iko fiti sana!” Ikakuwa evening, ikakuwa morning — day 6.