Kuna drought ingine ilihappen kwa land, diffrent from ile time ya Abraham. Isaac akaenda Gerar, kwa Abimelech king wa Philistines. God akamshow, “Usiende Egypt bro, stay kwa land nitakushow. Ntakubless apa, nitakuwai hii land wewe na descendants, cause nlikua nme-make oath na Abraham. Nitafanya descendants wako wa-spread kama stars za sky, na through you, nations zote zitablessiwa. Juu Abraham alinisikiza, aka-keep ma-orders na ma-laws zangu.”So Isaac akastay Gerar. Wasee wa area walimuuliza juu ya wife yake, akasema, “Ni siz,” juu alifear kuwashow ni wife juu wangemvuruga. Rebecca alikuwa mali safi. Day moja king Abimelech akacheki Isaac akiplay na Rebecca kaa malov birds, akasema, “Eh, bro! Huyu si sister yako, ni wife yako, na mbona ulitupima?” Isaac akakubali, “Nilisema ivo juu nilikuwa nafear nsimalizwe juu yake.” King akamwambia, “Ee bana, ungetuletea curse bure! Mse ange-touch wife wako, tungekuwa doomed.” Abimelech akaannounce, “Msee yeyote akitouch Isaac au wife yake, achomwe!” Isaac akaanza kutill hiyo land, na God akam-bless mbaya — same year akapata one hundredfold harvest. Msee akakuwa rich, akazidi ku-make pesa hadi akakuwa very wealthy. Alikuwa na cattle mob, servants kibao, na Philistines wakaanza kumuonea wivu. Wakablock zile wells baba yake alikua amechimba. Abimelech akamwambia, “Bro, jitoe, umekuwa too powerful.” Isaac aka-move out, aka-settle Gerar Valley. Akadig tena zile wells baba yake Abraham alikuwa amedig, wakaziita majina zile zile. Watu wake wakadig well mpya, wakawai waba. But shephards wa Gerar wakasema, “Hii waba ni yetu!” Isaac aka-name hiyo well Esek (meaning “kuchokozwa”). Wakadig ingine, tena waka-ifightia. Akaiita Sitna (“ugomvi”). Aka-move mbele, akadig well nyingine — hakukua na fight. Akasema“Finally God ame-open space, tutabloom hapa.” Akaiita Rehoboth. Kutoka hapo akaenda Beer-Sheba. Iyo night God aka-appear, akamwambia, “Mimi ni God wa Abraham. Usitense, niko na wewe. Nitakubless na descendants wako nitawa-multiply iuu ya baba yako.” Isaac akabuild altar pale, akapray, aka-set up camp, wakadig well. Abimelech, Ahuzzath na Phichol (commander wake) wakavisit Isaac. Isaac akawauliza, “Mbona mnanisaka na mlinichujaa?” Wakasema, “Tumecheki God yuko na wewe, so tunadai tuu peace, hakuna beef.” “Tulivow hatutakuharm, na vile ulileft bila kutuibia, basi tuweke oath ya peace.” Isaac akawasetia feast, wakadishy, wakadrink. Morning wakasign deal, wakaapa kwa amani, kisha wakaleft. Iyo day servants wa Isaac wakaleta news, “Boss, tumedig well, tume-get waba!” Akaiita Shebah — na iyo mtaai inaitwa Beer-Sheba hadi leo. Time Esau alikuwa miaka 40, akamarry Judith (mtoi wa Beeri the Hittite) na Basemath (mtoi wa Elon the Hittite). Na hizo marriages zilistress Isaac na Rebecca mbaya.