Genesis

Genesis 27

1 verse

Sasa Isaac alikuwa mzae sana, macho zake hazikuwa zinacheki poa. Akaita Esau, firstborn wake, akamshow, “Mtoi wa-mine!” Esau akareply, “Niko hatsapa.” Isaac akamshow, “Cheki, nimekuwa mzae, sijui day yangu ya kudie.” “Sasa tafadhali, chukua weapon zako — bag na upini — enda kwa fore, ukahunt wild animals.” “Nipikie dema tamu vile napenda, uniletee nidishi, roho yangu ikubless kabla nidie.” Rebekah akasikia Isaac akibonga na Esau mtoi wake. Esau akaishia kwa fore kuhunt nyakewild animals. Rebekah akashow Jacob mtoi wake, “Nimeskia buda yako akibonga na bro yako Esau akimshow, ‘Niletee nyake, nipikie dema tamu nidishi, nikubless mbele ya Jehovah kabla nidie.’” “Sasa mtoi wangu, sikiza vile nakushow.” “Enda kwa herd, unibringie mbuzi mbili fiti. Nitapika dema vile buda yako yulike.” “Utapelekea buda yako adishi, roho yake ikubless kabla adie.” Lakini Jacob akashow Rebekah, mathake, “Bro yangu Esau ni msee mwenye manywele mob, na mimi niko smooth.” “Buda anaweza nigusa, afikirie namcheza, anicurse badala ya kunibless.” Mathake akamshow, “Hiyo curse yako ikuwe juu yangu, mtoi wa-mine. Sikiza vile nimekushow, enda unibringie.” So Jacob akaishia akabring, mathake akapika dema tamu vile Isaac alikuwa akilike. Rebekah akachukua nguo za Esau, firstborn wake, zile fiti alikuwa nazo kwa hao, akavisha Jacob mtoi wake mless. Akamfunika mikono na shingo na ngozi ya mbuzi. Akagei Jacob ile dema tamu na bread alikuwa amepika. Jacob akaingia kwa buda yake, akasema, “Buda yangu!” Isaac akasema, “Niko hapa — wewe ni nani, mtoi wamine?” Jacob akajibu, “Mimi ni Esau, firstborn wako. Nimedo vile ulinishow. Tafadhali, inuka ukule nyake yangu ndio roho yako inibless.” Isaac akamshow, “Umeiget aje haraka hivi, mtoi wangu?” Akasema, “Jehovah, God wako, aliiseti mbele yangu.” Isaac akashow Jacob, “Karibia kiasi nikuguse, nicheki kama kweli wewe ni Esau.” Jacob akakaribia Isaac buda yake. Isaac akamgusagusa, akasema, “Sauti ni ya Jacob, but mikono ni za Esau.” Hakum-mesea, juu mikono zake zilikuwa na nywele kama za Esau bro yake, na akambless. Akamu-ask tena, “Kweli wewe ni Esau, mtoi wa-mine?” Akajibu, “Ndio, ni mimi.” Akamshow, “Nibringie nyake yako nidishi, roho yangu ikubless.” Jacob akabring, Isaac akadishi, halafu akamgei pia wine akanywaku. Isaac buda yake akamshow, “Karibia sasa, unikiss mtoi wangu.” Jacob akakaribia, akamkiss. Isaac akanusa harufu ya nguo zake, akambless akasema, “Ah, harufu ya mtoi wangu ni kama harufu ya shake yenye Jehovah amebless.” “Na God akugei blessing ya dew ya heaven, na udosi ya world, na nafaka mob na wine brandie. Wasee wakumind, manation zibow mbele yako. Uwe mdosi juu ya mabro zako, na watoi wa mama yako wabow mbele zako. Mwenye atakucurse acursiwe, na mwenye atakubless ablessiwe.” Venye tu Isaac alimada kubless Jacob, na Jacob akatoka kwake, Esau bro yake akarudi kutoka kuwinda. Yeye pia akapika dema tamu, akabring kwa buda yake, akamshow, “Buda, inuka udishi nyake yangu ndio roho yako inibless.” Isaac akamu-ask, “Wewe ni nani?” Akarespond, “Mimi ni mtoi wako, firstborn wako Esau.” Isaac akatetemeka vibaya sana, akamshow, “Ni nani basi alinibringia nyake kabla huja-come? Nimedishi yote, nikambless — na blessing itaremain juu yake!” Venye Esau aliskia words za buda yake, akalia na sauti bigi sana na pain, akasema, “Buda yangu, nipe blessing mimi pia!” Isaac akamshow, “Bro yako amekucheza, amechukua blessing yako.” Esau akasema, “Sasa nimemesea mbona aliitwa Jacob! Amenicheza mara mbili — first akachukua birthright yangu, na saa hii amechukua blessing yangu. Huna Blessing hata kiasi imebaki, buda?” Isaac akamjibu, “Cheki, nimem-make awe mdosi wako; marela wake wote nimemgei wawe servants wake; nimemgei dema na wine — sasa, mtoi wa-mine, nikudoie nini tena?” Esau akasema, “Buda yangu, una blessing jamo tu? Nibless hata mimi pia, buda yangu!” Esau akaanza kulia sana. Isaac buda yake akamjibu, “Makeja zako zitakuwa far na udosi ya world, far na dew wa heaven. Utaishi kwa sword na utaserve bro yako; lakini time utafika mwisho uchoke, utabreak yoke yake from shingo yako.” Esau akaanza kuchukia Jacob juu ya blessing aliblesswa nayo na buda yake. Akasema moyoni, “Day za mangata za buda yangu ziko close, na zikifika nitamada bro yangu Jacob.” Words za Esau zilifikia Rebekah. Akatumana aitiwe Jacob mtoi wake mdogo, akamshow, “Cheki, bro yako Esau anapanga revenge ya kukumada.” “Sasa, mtoi wa-mine, sikiza vile nakushow: hepa kwa Laban bro yangu huko Haran.” “Stay huko day chache, hadi hasira ya bro yako izame,” “mpaka hasira yake izame na aforget vile umemdoia; kisha nitakutusendia message urudi. Kwa nini nilose watoi wangu wote wawili day moja?” Rebekah akashow Isaac, “Nimechoka na life yangu juu ya madem wa Hittite. Kama Jacob atamarry wife kutoka kwa hao madame wa hii country life yangu itakuwa useless.”