Genesis

Genesis 33

1 verse

Jacob akainua macho akacheki Esau anakam na wasee soo nne. Akagawanya watoi kati ya Leah, Rachel, na mboch wake wawili. Akaseti mamboch na watoi wao mbele, Leah na watoi wake katikati, Rachel na Joseph nyuma kabisa. Jacob akatangulia mbele yao, akapiga magoti mara saba hadi vile alikaribia Esau. Esau akamkimbilia, akampiga hug, na akamkiss kwa shingo yake, wakacry wote wawili. Esau akacheki wamathee na watoi akamuuliza, “Hawa ni kina nani umekam nao?” Jacob akasema, “Ni watoi God amenibless nao.” Halafu pia mamboch wakakaribia pamoja na watoi wao, wakainama kumheshimu Esau. Leah na watoi wake wakakam wakainama pia, halafu Joseph na Rachel wakakam mwisho wakapiga magoti mbele yake. Esau akauliza, “Zile animals zote nilikutana nazo barabarani zilikuwa za nini?” Jacob akasema, “Ni gifts zako, bro.” Esau akasema, “Bro, niko nazo za kutosha, chukua animals zako.” Jacob aka-insist, “Tafadhali, usikware manze. Kama nimepata favour mbele yako, chukua gift yangu, maana kukucheki ni kama kucheki uso wa God, kwanza vile umenipokea vifiti.” “Chukua tu hizi blessings nimeleta kwako, kwa sababu God amenibless na nina ya kutosha.” Basi Esau akazichukua. Esau akasema, “Tuishie roundi pamoja, mimi nitakutangulia mbele.” Jacob akasema, “Bro, unajua watoi ni wadogo, na animals zitahema. Kama tutazipeleka teke sana, zitahema na zi-die.” “Wee tangulia mbele, mimi nitafuata polepole kulingana na speed ya watoi na animals, mpaka nifike Seir.” Esau akasema, “Wacha nisare vijana wachache wakusaidie,” Esau aka-suggest, lakini Jacob akamshow, “Acha tu bro, uko sawa, umenitreat poa sana tayari.” So hiyo siku Esau akarudi hivyo Seir. Jacob akaenda zake Succoth, aka-make-isha keja, akajengea animals vibanda. Ndiyo reason hiyo place ikaitwa Succoth. Jacob akafika fiti pale the city Shechem, country ya Canaan, after kurudi kutoka Padan-Aram, akaseti tent karibu na hio city. Aka-buy shakee kiasi pale mahali aliseti tent, kutoka kwa watoi wa Hamor buda ya Shechem, for pieces soo moja za silver. Pale akaseti altar, akaita jina lake “El Elohe Israel” — yaani, God ni God wa Israel.