Genesis

Genesis 46

1 verse

Israel akaanza safari yake na akabeba kila kitu alikuwa nayo, akafika Beer-sheba, akatoa sacrifice kwa God wa buda yake Isaac. Na God akambongesha Israel gizani kwa ndoto, akamwita, “Jacob, Jacob!” Na yeye akajibu, “Niko.” God akamshow, “Mimi ndiye God, God wa buda yako. Usigwaya kushuka Egypt, maana huko nitakufanya nation bwaku.” “Nitashuka pamoja na wewe Egypt, na nitakurudisha tena, na Joseph atakushika mikono ukiwa unadeadi.” Jacob akatoka Beer-sheba; watoi wa Israel wakambeba buda yao, watoi wao, na wives zao juu ya zile mikoko Pharaoh alikuwa ametuma. Wakachukua animals zao na possessions zote waliokuwa wameget Canaan, wakaingia Egypt, Jacob na descendants wake wote. Watoi wake, watoi wa watoi wake, waresh wake na watoi wa watoi wake waresh, wote wakaishia na yeye Egypt . Hizi ndiyo majina za watoi wa Israel walikam Egypt , Jacob na watoi wake: Ruben, firstborn wa Jacob. Watoi wa Ruben: Hanoch, Phallu, Hezron, na Carmi. Na watoi wa Simeon: Jemuel, Jamin, Ohad, Jakin, Zohar, na Shaul mtoi wa mmatha wa Canaan. Watoi wa Levi: Gershon, Kohath, na Merari. Na watoi wa Judah: Er, Onan, Shelah, Perez, na Zerah; lakini Er na Onan walidie Canaan. Watoi wa Perez walikuwa Hezron na Hamul. Na watoi wa Issachar: Tola, Puah, Jashub, na Shimron. Na watoi wa Zabulun: Sered, Elon, na Jahleel. Hawa ndio watoi wa Leah alizalia Jacob huko Paddan-aram, pamoja na Dinah daughter yake; total ya watoi wake, maboy na waresh, walikuwa 33. Watoi wa Gad: Ziphion, Haggi, Shuni, Ezbon, Eri, Arodi, na Areli. Watoi wa Asher: Jimnah, Ishvah, Ishvi, Beriah, na siz yao Serah; watoi wa Beriah walikuwa Heber na Malchiel. Hawa ni watoi maboy wa Zilpa, yule Laban aligei Leah daughter yake; hawa ndio watoi alizalia Jacob, in total watoi 16. Watoi wa Rachel, wife wa Jacob: Joseph na Benjamin. Na Joseph, akiwa Egypt , alizaa watoi wawili: Manasseh na Ephraim, wale Asenath daughter wa Potiphera, priest wa On, alimzalia. Watoi wa Benjamin: Bela, Beker, Ashbel, Gera, Naamani, Ehi, Rosh, Muppim, Huppim, na Ard. Hawa ndio watoi wa Rachel aliomzalia Jacob, total yao walikuwa kumi na nne. Na son wa Dan: Hushimu. Watoi wa Naphtali: Jahzeeli, Guni, Jezer, na Shillem. Hawa ni watoi wa Bilha, yule Laban aligei Rachel daughter wake; hawa ndio watoi alimzalia Jacob, in total watoi seven. Wote wale waliishia na Jacob Egypt , wale walikuwa wametoka from loins zake, isipokuwa wives za watoi wake, walikuwa wasee 66. Ukiongeza watoi wa Joseph walikuwa wamezaliwa Egypt walikuwa wawili; basi in total wasee wa keja ya Jacob waliokuja Egypt walikuwa 70. Jacob akamtuma Judah mbele kwa Joseph, ili amwonyeshe njia ya kuingia Goshen. Joseph akaandaa chariot yake, akaishia kumpokea buda yake Israel Goshen, akampiga hug shingoni na aka-cry for a long time Israel akashow Joseph, “Sasa niko sawa hata niki-die, kwa maana nimekucheki na unakaa fiti.” Joseph akamshow bros zake na keja ya buda yake, “Nitaishia nishow Pharaoh that “Na nitamshow vile nyinyi ni shepherds wa animals, since mboka yenyu imekuwa kuchunga tangu tenee.” “Vile Pharaoh atawaita na kuwauliza mboka yenyu ni nini, “Mshow, ‘Servants wako wamekuwa shepherds wa animals tangu tuwe watoi hadi sasa kama vile ancestors wetu,’ Then mtapelekwa land ya Goshen, because Egyptians hu-despise shepherds.”