Genesis

Genesis 45

1 verse

Joseph hakuweza kujizuia mbele ya wasee wote waliokuwa hapo, akazusha kama amewashow, “Tokeni hapa!” Hakuna msee yeyote alibaki vile alijitambulisha kwa bros zake. Akacry kwa sauti bwaku, hadi Egyptians na wasee wa keja ya Pharaoh wakasikia. Joseph akashow bros zake, “Ni mimi Joseph! Budangu bado ako alive?” But bros wake wakashindwa kujibu kwa sababu walikuwa wamegwaya vinoma. Joseph akawashow, “Kamini close tafadhali.” Vile walikaribia, akasema, “Ni mimi Joseph bro yenu, yule mlipiga bei Egypt.” “Msikuwe sad bana, ama msijiblame juu mlinitupa hapa, juu God mwenyewe ndiye alinituma mbele yenu ndio nisave lives zenyu.” “Kumekuwa na drought miaka mbili sasa, na bado kuna miaka mitano ambayo hakutakuwa na kulima ama kuvuna.” “God alinituma kuishia mbele yenu ndio muokoke, na muendelee kuishi kwa hii world.” “So si nyinyi mlinibring hapa, but God. Na yeye amenifanya kuwa kama buda kwa Pharaoh, bossi wa keja yake yote, na leader wa nation yote ya Egypt.” “Harakisheni, muishie kwa budangu, mumshow: ‘Mtoi wako Joseph anasema, God amenifanya bossi wa Egypt yote; kamini kwangu usipoe furthest.’” “Mtakaa Gosheni, karibu na mimi, wewe, watoi wako, wajukuu wako, animals zako zote, na mali zako.” “Nitakugei dishi huko, kwa sababu bado miaka ngovo za njaa zinakuja, ili usikose kitu wewe na familia yako.” “Chekini, na macho zenu na macho za bro yangu Benjamini zinaeza tambua ni mimi Joseph ninayebonga na nyinyi.” “Showini buda yangu kuhusu heshima yote God amenigei hapa Egypt, na mmlete hapa haraka.” Joseph akapiga Benjamini hug moja safi na akacry, na Benjamini akacry pia yeye. Akakiss bros zake wote, akacry nao; then bros zake wakaanza kubonga na yeye. Riba zikasikika kwa keja ya Pharaoh ati bros za Joseph wamekam, Pharaoh na mamboch wake wakabambika sana. Pharaoh akabonga na Joseph, “Washow bros zako wa-do hivi: wabebe dishi, warudi kwa nchi ya Canaan.” “Wakachukue buda yenyu na family zenyu zote, wakam kwangu; nitawagei area fiti sana ya land ya Egypt, na mtadishi vifiti kama kings.” “Hii ndio order: chukueni mikokoteni kutoka Egypt kwa ajili ya watoi wenu na wives zenu, m-bring buda yenyu hapa.” “Msiwe na worries kuhusu vitu zenyu, kwa sababu vitu zote fiti fiti hapa Egypt ni zenyu.” Watoi wa Israel waka-do vile Joseph alisema; Pharaoh akawagei mikokoteni na dishi kwa safari. Kila mmoja akageiwa mng’aro mpya, lakini Benjamini akapewa mng’aro ngovo na pieces 100 za silver. Kwa buda yake akatuma punda kinde zilibeba vitu za maana za Egypt, na punda kinde zilibeba nafaka na dishi ya safari. Akawaaga bros zake, akawashow, “Msizushiane kwa njia.” Wakatoka Egypt, wakaishia hadi land ya Canaan kwa buda yao Jacob. Wakamshow, “Manze Joseph bado ako alive! Na ndiye bossi wa country yote ya Egypt.” Lakini heart ya Jacob ikashukishiwa kiasi, juu hakuamini. Wakamchapia riba yote ya Joseph, na vile alicheki mikoko zile zote zilitumwa na Joseph, heart ya Jacob ikachangamka. Israel akasema, “Inatosha! Mtoi wangu Joseph yuko alive, nitaishia nimcheki kabla sijadie.”