Jacob akandelea na trip yake na angels wa God waka apia kwa road. Akiwaona Jacob akasema “Hii place ni camp ya God” akaiita Mahanaim. Then Jacob akatuma messengers kwa Esau bro wake kule land ya Seir country ya Edom. Akawambia, “Mwambie Esau master, hii ndio message ya Jacob msee wako, niko humble mbele yako.” “Nimeishi kwa Laban for long niko na oxen donkeys sheep goats ma-servants na wealth mob. Nimekuja kusend message juu natafuta favor kutoka kwako.” Messengers wakarudi wakamshow “Tumemeet Esau na anakuja kukumit na maboys wake mia nne.” Jacob akaogopa aka-panick akagawa watu wake flocks zake na wealth yake kuwa groups mbili. Akasema “Kama Esau ataattack group moja ingine itatoroka.” Jacob akaomba akasema “God wa baba yangu Abraham na God wa baba yangu Isaac wewe ulinishow nirudi land yangu na relatives zangu na ukanipromise good.” “Sidizav blessings zako juu time nilivuka river nilikuwa na staff moja na sasa niko na camps mbili.” “Nisave kutoka kwa Esau bro wangu naogopa atanimaliza mimi wives zangu na watoi wangu.” “Wewe mwenyewe ulisema descendants wangu watakuwa kama mchanga wa sea wasioweza kuhesabika.” Usiku Jacob aka-prepare gifts kwa Esau. Aka arrange goats mia mbili mbuzi dume ishirini sheep mia mbili rams ishirini camels na watoi wao cattle donkeys kila kitu imepangwa. Akawapea servants wake akawaorganize groups tofauti. Akawaambia “Esau akikutana na group ya kwanza awaulize ‘Ni ya nani hii’ mtamjibu ‘Ni gift za Jacob zimeletwa kwake Esau.’” Akaambia group ya pili na ya tatu wafollow hiyo script. Akasema “These gifts zitaeza kumsoften halafu mimi nitafollow maybe atanipokea fresh.” So gifts zikaenda mbele yake Jacob akabaki camp. Usiku akachukua wives wake wawili maids wake wawili na watoi wake kumi na moja akawavusha ford ya Jabbok. Akawavusha kila mtu na everything yake. Jacob akabaki peke yake. Then msee akaappear akawrestle na Jacob mpaka morning. Msee alipoona Jacob ameshikilia hataki kulet go akagusa hip yake ikaslip. Msee akasema “Niachie morning imefika.” Jacob akasema “Sikuachi hadi unibless.” Msee akauliza “Jina yako ni gani.” Jacob akasema “Jacob.” Msee akamshow “Sasa jina yako itakuwa Israel juu umestruggle na God na watu na ukashinda.” Jacob akasema “Nipe jina yako.” Msee akamshow “Hiyo utoe.” Jacob akasema “Nimeona God face to face na bado niko alive.” Akaiita place hiyo Peniel. Asubuhi akatoka akitembea na hip ikiuuma lakini akaendelea safari. Ndio maana mpaka leo Waisrael hawali ile sinew ya hip juu God aliitouch time alimwrestle Jacob. Ndio maana mpaka leo Waisrael hawakuli ile sinew ya kwa hip juu God aliitouch hip ya Jacob time walikuwa wanastruggle usiku ule.