Later, Abraham akaingiza mdem mwingine box, Keturah. Huyu mdem akamzalia watoi kadhaa — Zimran, and Jokshan, and Medan, and Midian, and Ishbak, na Shuah. Jokshan akazaa watoi wawili — Sheba na Dedan. Watoi wa Midian walkua Epher, and Enoch, and Abida, na Eldaah. Hawa wote walkua sons wa Keturah. Abraham akawai kila kitu yake kwa Isaac. But wale watoto wa side chicks (concubines) aliwadunga gifts tu, na kabla adeadi akawasend far side ya east wasivuruge Isaac. Abraham aliishi miaka 175. Aka-deady akiwa mzai, amechoka fiti, life imekomaa, akajoin ancestors wake. Watoi wake Isaac na Ishmael wakam-bury kwa cave ya Machpela, karibu na field ya Ephron huko Mamre. Hapo ndio wali-bury Sarah pia. After death ya Abraham kuenda, God akazidi kubless Isaac, na Isaac akastay karibu na Beer-Lahai-Roi. Hii ndio riba ya Ishmael mtoi wa Abraham, na Hagar(slave wa Egypt). Hawa ndo watoi wa Ishmael, clan zao: Nebaioth, Kedar, Adbeel, Mibsam, Mishma, Dumah, Massa, Hadad, Tema, Jeturi, Naphish, na Kedmah. Hao ndio watoi wa Ishmael, kila mmoja na family yake. Ishmael aliishi miaka 137, akadeadi, akajoin ancestors wake. Descendants wake walistay kuanzia Havilah hadi Shur, karibu na Egypt. Ndio hii riba ya Isaac mtoi wa Abraham. Abraham alizaa Isaac. Isaac alimarry Rebecca akiwa 40yrs old, mdem wa Bethuel (Syria), sista ya Laban wa Padan-Aram. Isaac akapray kwa God juu ya wife yake alikua barren. God akasikia prayer yake, Rebecca akaget ball. But ndani yake, ma-twins walikuwa wana-fight. Akauliza, “Eeh God, rada?” God akamshow, “Ndani yako kuna nations 2. Zitaachana — moja itakuwa stronger, na ile pyenga ita-rule ile bigi.” Idhaa ya kugive birth ikafika, mimba ikaleta ma-drama. Mtoi wa 1st alitoka akiwa mred na amejaa hair kaa garment — wakamwita Esau. Immediately after, bro wake akakam akishikilia Esau kwa heel — wakamwita Jacob. Isaac alikuwa miaka 60 by then. Watoto wakagrow. Esau alikuwa msee wa field — hunter. Jacob alikuwa mtu wa indoors. Isaac alilike Esau juu alimletea nyama daily, lakini Rebecca alikuwa anapenda Jacob zaidi. Day moja Jacob alikuwa anapika stew, Esau akarudi na ubao sana. Akasema, “Bro, nipe tu hiyo supu uyako ya red, niko na unenge mbaya.” Ivo ndo aliitwa Edom (meaning red). Jacob akamshow, “Poa, but niuzie birthright yako 1st.” Esau akasema, “Aah, niko karibu ku-deady bana, hiyo birthright itanihelp aje?” Jacob akamwambia, “Swear basi.” Esau aka-pledge, aka-sell birthright yake. Jacob akamserve bread na stew ya ndengu, Esau akajibonda, akadrink, akachill. Ivyo Esau akadisrespect birthright yake