Genesis

Genesis 28

1 verse

Isaac akaita Jacob, akambless, akamshow, “Usimarry dem yeyote wa hatspa Canaan.” “Hepa uende Paddan-Aram, kwa Laban bro ya mathako Rebekah. Uende uko uchukue dem mmoja wa watoi wa Laban.” “God Mwenye Uweza akubless, akugei watoi wengi hadi uwe community kubwa.” “Akupatie blessing aligei Abraham, wewe na watoi wako, muinherit hii land ya huku, ile God aligei Abraham.” So Isaac akasend Jacob, Jacob akaishia Paddan-Aram kwa Laban mtoi wa Bethuel the Aramean, bro ya Rebekah, mathe ya kina Jacob na Esau. Esau akacheki vile Isaac amebless Jacob na kumsend Paddan-Aram achukue wife kutoka uko, na vile Isaac aliinstruct Jacob: “Usimarry dem wa Canaan.” Jacob akaobey buda yake na mathake, akaishia Paddan-Aram. Esau akadiscover madem wa Canaan hawakuwa wanabamba Isaac buda yake. So Esau akaishia kwa Ishmael, akachukua Mahalat daughter ya Ishmael mtoi wa Abraham, sista ya Nebaioth, akamdo akue wife yake juu ya wale madem wengine alikuwa nao. Jacob akahepa kutoka Beersheba akaishia Haran. Venye alfika place fulani usiku ikaingia, akadecide kudoze hapo. Akachukua dimanga moja akaweka kama pillow, akadoze. Akadream akacheki ladder imepanda juu ya world ikafika mpaka heaven, na angels wa God wakipanda na kushuka. Kwa top ya ladder Jehovah alikuwa hatsapo, akamshow, “Mimi ni Jehovah, God wa Abraham buda yako na God wa Isaac. Hii land umedoze juu yake nitakugei wewe na watoi wako.” “Watoi wako watakuwa mob kama dust ya world; mtaspread east, west, north, na south. Kupitia wewe na watoi wako tribes zote za world zitablessiwa. “Niko na wewe nitaprotect mahali popote utaishia, na nitakubring tena huku. Sita-kuacha hadi nime-do kila kitu nimekushow.” Jacob akaamka, akasema, “Manze Jehovah ako hatsapa, na mimi sikurada!” Akaget shocked akasema, “Hii place iko fiti! Hii lazima ni nyumba ya God, hapa ni gate ya heaven!” Morning mapema, Jacob aka-take ile dimanga alikuwa ametumia kama pillow, akaistand kama pillar, akaimwagia oil juu yake. Akaita ile place Bethel, although jiji hapo before ilikuwa inaitwa Luz. Jacob akavow, akasema, “Kama God atakuwa na mimi, aniprotect kwa hii journey, anigei dema ndio nidishi na nguo ndio nidunge,” “ndio nirudi home kwa buda yangu safely baadaye, basi Jehovah atakuwa God wangu.” “Hii pillar nimeset kama sign itakuwa nyumba ya God. Na kila kitu utanigei nitakugei tithe.”