Genesis

Genesis 44

1 verse

Joseph akamshow steward wake “Jaza bags za hawa mabros food hadi zicram na uweke silver ya kila mmoja ndani ya bag yake.” “Na kwa bag ya Benjamin weka silver cup yangu pamoja na silver yake.” Steward akafanya vile Joseph alisema na asubuhi wakawaruhusu waende na donkeys zao. Hawajafika mbali Joseph akamshow steward “Chase them sasa ukawafikie uawaambie haya maneno.” “Mwambie ‘Mbono mme repay good na evil? Hiyo cup mumebeba ndiyo cup ya bwana wangu hutumia kunywa na ku-divine. Mmefanya wrong kubwa.’” Steward akawafikia akawambia hizo words. Wakamuuliza “Master tumefanya nini hadi utuseme hivi? Hatungefanya hii evil.” “Hata ile silver tulipata kwa bags last time tuliirudisha kutoka Canaan. Tungebeba aje cup ya bwana wako?” “Ukiona cup kwa mtu yeyote wao afe na sisi wengine tuwe slaves wa bwana wako.” Steward akasema “Sawa lakini yule mwenye cup atakuwa slave nyinyi wengine mtaenda free.” Kila mmoja akalow bag yake chini akafungua. Steward akaanza search kutoka mkubwa hadi mdogo cup ikapatikana kwa bag ya Benjamin. Mabros wakachana mavazi zao kwa stress waka load donkeys zao wote wakarudi Egypt. Wakafika kwa Joseph akikaa kwa keja yake wakanguka chini mbele yake. Joseph akawauliza “Mmefanya aje hii kitu? Hamujui msee kama mimi anaweza kudivine?” Judah akasema “Tutamjibu nini bwana wangu? Tutajitetea aje? God ametu-expose. Sisi wote tuko hapa kama slaves pamoja na Benjamin.” Joseph akasema “Hapana mimi sitachukua wote. Yule mwenye cup atabaki slave nyinyi wengine mrudi home free.” Judah akamsogelea akasema “Master niruhusu niongee kidogo usikasirike juu wewe ni kama God kwa sisi.” “Wewe ulituuliza kuhusu baba yetu na bro mwingine.” “Tukakuambia tuna baba mzee na mtoi mdogo ambaye bro yake mkubwa alienda so baba anampenda sana.” “Ulisema tumlete kwako.” “Tulimshow baba yetu akasema mtoi hawezi leave home juu heart yake iko linked naye.” “Tulikuambia tukirudi bila Benjamin baba yetu ata die.” “Master ukichukua Benjamin kutoka kwangu baba yetu hatahandle.” “Nimekuwa guarantee ya hii mtoi kwa baba yangu.” “So wacha mimi nibaki slave na mtoi arudi home. “Usiache life ya baba yangu iende.” “Juu tukirudi bila Benjamin baba yetu ataenda grave.” “Wacha hii thambi ibaki kwa mimi sio kwake.” Judeh aka-plead hadi akanyamaza. Joseph hakuweza kujicontrol akalia loudly Wamisri wakasikia Pharaoh pia akapewa info. Joseph akasema “Ondoeni watu wote hapa nikae na bros wangu pekee.” Wote wakaondoka wakae kabaki na bros wake. Akasema “Mimi ndiye Joseph bro wenyu. Baba yetu bado ako alive?” Bros wake wakashindwa kujibu juu waliogopa sana. Joseph akawakaribia akasema “Mimi ndiye Joseph yule mlisell Egypt lakini msiogope juu God alituma mimi before yenu kuwasave.